Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 10:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Na Yesu alikuwa akitembea ndani ya hekalu, katika ukumbi wa Sulemani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Naye Yesu akawa anatembea hekaluni katika ukumbi wa Solomoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Naye Yesu akawa anatembea hekaluni katika ukumbi wa Solomoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Naye Yesu akawa anatembea hekaluni katika ukumbi wa Solomoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Naye Isa alikuwa akitembea ndani ya Hekalu katika Ukumbi wa Sulemani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Naye Isa alikuwa akitembea ndani ya Hekalu katika ukumbi wa Sulemani.

Tazama sura Nakili




Yohana 10:23
3 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi ilikuwa siku kuu ya kutabaruku huko Yerusalemi; ni wakati wa baridi.


Bassi yule kiwete aliyeponywa alipokuwa akiwashika Petro na Yohana, watu wote wakawakusanyikia mbio katika tao lile lililokwitwa tao la Sulemani; wakishangaa sana.


Na kwa mikono ya mitume zikafanyika ishara na maajabu mengi katika watu: nao wote walikuwa kwa nia moja katika ukumbi wa Sulemani:


Tufuate:

Matangazo


Matangazo