Yohana 10:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19212 Aingiae kwa mlango ni mchunga wa kondoo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Lakini anayeingia kwa kupitia mlangoni, huyo ndiye mchungaji wa kondoo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Lakini anayeingia kwa kupitia mlangoni, huyo ndiye mchungaji wa kondoo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Lakini anayeingia kwa kupitia mlangoni, huyo ndiye mchungaji wa kondoo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Yeye anayeingia kupitia kwenye lango ndiye mchungaji wa kondoo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Yeye anayeingia kwa kupitia kwenye lango ndiye mchungaji wa kondoo. Tazama sura |