Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 10:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Mwizi haji illa aibe, achinje, aharibu; mimi nalikuja wawe na uzima, na wawe nao tele.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Mwizi huja kwa shabaha ya kuiba, kuua na kuharibu. Mimi nimekuja mpate kuwa na uhai – uhai kamili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Mwizi huja kwa shabaha ya kuiba, kuua na kuharibu. Mimi nimekuja mpate kuwa na uhai – uhai kamili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Mwizi huja kwa shabaha ya kuiba, kuua na kuharibu. Mimi nimekuja mpate kuwa na uhai — uhai kamili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Mwizi huja ili aibe, aue na aangamize. Mimi nimekuja ili wapate uzima, kisha wawe nao tele.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Mwizi huja ili aibe, kuua na kuangamiza. Mimi nimekuja ili wapate uzima kisha wawe nao tele.

Tazama sura Nakili




Yohana 10:10
25 Marejeleo ya Msalaba  

Angalieni msidharau mmoja wa wadogo hawa; kwa maana nawaambieni ya kwamba malaika zao mbinguni siku zote wanamtazama uso wa Baba yangu aliye mbinguni.


Kwa maana Mwana wa Adamu alikuja kukiokoa kilichopotea.


kama vile Mwana wa Adamu asivyokuja kukhudumiwa, bali kukhudumu, na kutoa roho yake kuwa dia ya wengi.


akawaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itakwitwa nyumba ya sala; bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyangʼanyi.


Ole wenu waandisbi na Mafarisayo, wanafiki! kwa kuwa mnakula nyumba za wajane, na kwa unafiki mnasali sala ndefu; kwa hiyo mtapokea hukumu iliyo kubwa mno.


Akafundisha, akiwaambia, Haikuandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote? Bali nanyi mmeifanya kuwa pango ya wanyangʼanyi.


Kwa maana Mwana wa Adamu alikuja illi kutafuta kilichopotea na kukiokoa.


AMIN, amin, nawaambieni, asiyeingia kwa mlango katika zizi la kondoo, lakini apanda penginepo, huyu ni mwizi na mnyangʼanyi.


Mimi ndimi niliye mchunga aliye mwema: mchunga aliye mwema huweka maisha yake kwa ajili ya kondoo.


Na mtu akisikia maneno yangu, asiyashike, mimi simhukumu; maana sikuja niuhukumu ulimwengu, bali niuokoe ulimwengu.


Aliyasema haya, si kwa kuwahurumia maskini; hali kwa kuwa ni mwizi, nae ndiye aliyeshika mfuko, akavichikua vilivyotiwa humo.


Maana Mungu hakumpeleka Mwana wake ulimwenguni auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe nae.


wala hamtaki kuja kwangu, mpate kuwa na uzima.


Kwa maana mkate wa Mungu ni ule ushukao kutoka mbinguni na kuupa ulimwengu uzima.


Mimi ni mkate wa uzima ulioshuka kutoka mbinguni; mtu akila mkate huu, ataishi milele: na mkate nitakaotoa mimi ni nyama yangu nitakayotoa kwa ajili ya uzima wa ulimwengu.


hassi wewe umfundishae mwiugine, je! hujifimdishi nafsi yako? Wewe nkhubiriye kwamha mtu asiibe, waiba mwenyewe?


Ni neno la kuaminiwa, listahililo kukubaliwa na watu wote, ya kwamba Kristo Yesu alikuja ulimwenguni, awaokoe wenye dhambi; na mimi wa kwanza wao.


Katika neno hilo Mungu, akitaka kuwaonyesha wairithio ile ahadi jinsi mashauri yake yasivyoweza kubadilika, alitia kiapo katikati;


Nae, kwa sababu hii, aweza kuwaokoa kabisa wao wajao kwa Mungu kwa yeye; maana yu hayi siku zote illi awaombee.


Maana hivi mtaruzukiwa kwa ukarimu kuuingia ufalme wa milele wa Bwana wetu, Mwokozi wetu Yesu Kristo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo