Yohana 1:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Huyu hakuwa ile nuru, illakini aishuhudie ile nuru. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Yeye hakuwa huo mwanga, ila alikuja tu kuwaambia watu juu ya huo mwanga. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Yeye hakuwa huo mwanga, ila alikuja tu kuwaambia watu juu ya huo mwanga. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Yeye hakuwa huo mwanga, ila alikuja tu kuwaambia watu juu ya huo mwanga. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Yeye mwenyewe hakuwa ile nuru, bali alikuja kuishuhudia hiyo nuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Yeye mwenyewe hakuwa ile nuru, bali alikuja kuishuhudia hiyo nuru. Tazama sura |