Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 1:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Palitokea mtu ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Mungu alimtuma mtu mmoja jina lake Yohane,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Mungu alimtuma mtu mmoja jina lake Yohane,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Mungu alimtuma mtu mmoja jina lake Yohane,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Alikuja mtu mmoja aliyetumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yahya.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Alikuja mtu mmoja aliyetumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yahya.

Tazama sura Nakili




Yohana 1:6
15 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana huyo ndiye aliyeandikiwa, Tazama, mimi namtuma mjumbe wangu mbele ya uso wako. Atakaeitengeneza njia yako mbele yako.


Ubatizo wa Yohana ulitoka wapi? Ulitoka mbinguni, au kwa wana Adamu? Wakasemezana wao kwa wao, wakinena, Tukisema, Ulitoka mbinguni; atatuambia, Mbona bassi hamkumwamini?


Yule malaika akamwambia, Usiogope, Zakaria, maana dua yako imesikiwa, na mke wako Elizabeti atakuzalia mtoto mwanamume, na jina lake utamwita Yohana.


Na wewe nawe, Mtoto, utakwitwa nabii wake Aliye juu: Kwa maana utatangulia mbele ya uso wake Bwana ufanyize njia zake;


Nami sikumjua, lakini yeye aliyenipeleka kubatiza kwa maji, huyu aliniambia, Yeye ambae utakaemwona Roho akishuka na kukaa juu yake, huyu ndiye abatizae kwa Roho Mtakatifu.


Ninyi wenyewe mwanishuhudia ya kwamba nalisema, Mimi siye Kristo, bali nimetumwa mbele yake.


Yohana alipokuwa amekwisha kuwakhubiri watu wote wa Israeli khabari za ubatizo wa toba, kabla ya kuja kwake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo