Yohana 1:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19215 nayo nuru yangʼaa gizani, wala giza halikuiweza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Na mwanga huo huangaza gizani, nalo giza halikuweza kuushinda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Na mwanga huo huangaza gizani, nalo giza halikuweza kuushinda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Na mwanga huo huangaza gizani, nalo giza halikuweza kuushinda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Nuru hung’aa gizani nalo giza halikuishinda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Nuru hung’aa gizani nalo giza halikuishinda. Tazama sura |