Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 1:47 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

47 Yesu akamwona Nathanaeli akija kwake, akamtaja khabari zake, Tazama, huyu ni Mwisraeli kweli kweli, hamna hila ndani yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

47 Yesu alipomwona Nathanaeli akimjia, alisema juu yake, “Tazameni! Huyo ni Mwisraeli halisi: Hamna hila ndani yake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

47 Yesu alipomwona Nathanaeli akimjia, alisema juu yake, “Tazameni! Huyo ni Mwisraeli halisi: Hamna hila ndani yake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

47 Yesu alipomwona Nathanaeli akimjia, alisema juu yake, “Tazameni! Huyo ni Mwisraeli halisi: hamna hila ndani yake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

47 Isa alipomwona Nathanaeli anakaribia, akanena habari zake, akasema, “Tazama huyu ni Mwisraeli kweli kweli; hana hila ndani yake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

47 Isa alipomwona Nathanaeli anakaribia, akanena habari zake akasema, “Tazama huyu ni Mwisraeli kweli kweli, hana hila ndani yake.”

Tazama sura Nakili




Yohana 1:47
13 Marejeleo ya Msalaba  

na kwa sababu hakuwa na haja ya watu kushuhudia khabari za niwana Adamu; kwa maana yeye mwenyewe alijua yaliyomo ndani ya mwana Adamu.


Yesu akamwambia, Enenda, kamwite mume wako uje nae hapa.


Bassi Yesu akawaamhia Wayahudi wale waliomwamini, Ninyi mkikaa katika neno langu, mu wanafunzi wangu kweli kweli;


Wakajibu, wakamwambia, Baba yetu ni Ibrahimu. Yesu akawaambia, Kama mugekuwa watoto wa Ibrahimu, mngetenda kazi zake Ibrahimu.


ambao ni Waisraeli, wenye kufanywa wana, wenye utukufu na maagano, wenye kupewa torati na ibada ya Mungu na ahadi zake; ambao mababu ni wao,


Si kana kwamba neno la Mungu limetanguka; maana hawawi wote Waisraeli walio wa uzao wa Israeli.


Maana sisi tu tohara, tumwabuduo Muugu kwa Roho, na kujisifu katika Kristo Yesu, wala hatuutumainii mwili. Walakini mimi ningeweza kuutumainia mwili.


BASSI, mkiwekea mbali uovu wote na hila yote na unafiki na husuda na niasingizio yote,


yeye hakutenda dhambi, wala hila haikuonekana kinywani mwake;


Na katika vinywa vyao haikuonwa bila. Maana hawana mawaa mbele ya kiti cha enzi cha Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo