Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 1:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

40 Andrea, ndugu ya Simon Petro, alikuwa mmoja wa wale wawili waliomsikia Yohana na kumfuata.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Andrea, nduguye Simoni Petro, alikuwa mmoja wa hao wawili waliokuwa wamemsikia Yohane akisema hivyo, wakamfuata Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Andrea, nduguye Simoni Petro, alikuwa mmoja wa hao wawili waliokuwa wamemsikia Yohane akisema hivyo, wakamfuata Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Andrea, nduguye Simoni Petro, alikuwa mmoja wa hao wawili waliokuwa wamemsikia Yohane akisema hivyo, wakamfuata Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Andrea, nduguye Simoni Petro, alikuwa mmoja wa wale wawili waliosikia yale Yahya alisema na kumfuata Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Andrea nduguye Simoni Petro, alikuwa mmoja wa wale wawili waliosikia yale Yahya aliyokuwa amesema, naye ndiye alimfuata Isa.

Tazama sura Nakili




Yohana 1:40
11 Marejeleo ya Msalaba  

Na majina ya mitume thenashara ni haya: Wa kwanza Simon aliyekwitwa Petro, na Andrea ndugu yake; Yakobo wa Zebedayo, na Yohana ndugu yake;


IKAWA makutano walipomsonga, wakisikiliza neno la Mungu, yeye alikuwa akisimama kando ya ziwa la Genesareti:


Wakaenda, wakaona akaapo, wakakaa kwake siku ile. Ilikuwa karibu na saa kumi.


Yesu nae akaitwa pamoja na wanafunzi wake arusini.


Bassi wanafunzi wake wakasemezana, Je! mtu amemletea chakula?


Mmoja wa wanafunzi wake, Andrea, ndugu wa Simon Petro, akamwambia,


Hatta walipoingia, wakapanda orofani, walipokuwa wakikaa; Petro, na Yakobo, na Yohana, na Andrea, Filipo na Tomaso, Bartolomayo na Mattayo, Yakobo wa Alfayo, na Simon Zelote, na Yuda wa Yakobo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo