Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 1:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

39 Wakaenda, wakaona akaapo, wakakaa kwake siku ile. Ilikuwa karibu na saa kumi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Yesu akawaambia, “Njoni, nanyi mtaona.” Hao wanafunzi wakamfuata, wakaona mahali alipokuwa anakaa, wakashinda naye siku hiyo. Ilikuwa yapata saa kumi jioni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Yesu akawaambia, “Njoni, nanyi mtaona.” Hao wanafunzi wakamfuata, wakaona mahali alipokuwa anakaa, wakashinda naye siku hiyo. Ilikuwa yapata saa kumi jioni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Yesu akawaambia, “Njoni, nanyi mtaona.” Hao wanafunzi wakamfuata, wakaona mahali alipokuwa anakaa, wakashinda naye siku hiyo. Ilikuwa yapata saa kumi jioni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Isa akawajibu, “Njooni, nanyi mtapaona!” Hivyo wakaenda na kupaona mahali alipokuwa anaishi, wakakaa naye siku ile, kwa kuwa ilikuwa yapata saa kumi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Isa akawajibu, “Njooni, nanyi mtapaona!” Hivyo wakaenda na kupaona mahali alipokuwa anaishi, wakakaa naye siku ile, kwa kuwa ilikuwa yapata saa kumi.

Tazama sura Nakili

Yohana 1:39
11 Marejeleo ya Msalaba  

Wakamshurutisha, wakisema, Kaa pamoja nasi, kwa maana kumekuchwa, na mchana unakwisha sasa. Akaingia kukaa nao.

Wakamwambia, Rabbi (tafsiri yake, Mwalimu), unakaa wapi? Akawaambia, Njoni muone.

Andrea, ndugu ya Simon Petro, alikuwa mmoja wa wale wawili waliomsikia Yohana na kumfuata.

Nathanaeli akamwambia, Chaweza kitu chema kutoka Nazareti? Filipo akamwambia, Njoo uone.

Bassi wale Wasamaria walipomwendea walimsihi akae kwao; akakaa huko siku mbili.

Yote anipayo Bwana itakuja kwangu; nae ajae kwangu sitamtupa nje kamwe.

Tazama, nasimama mlangoni, nabisha: mtu akiisikia sauti yangu na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nitakula pamoja nae, na yeye pamoja nami.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo