Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 1:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

37 Wale wanafunzi wawili wakamsikia akinena, wakamfuata Yesu. Yesu akageuka, akawaona wakifuata: akawaambia, Mnatafuta nini?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Hao wanafunzi walimsikia Yohane akisema maneno hayo, wakamfuata Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Hao wanafunzi walimsikia Yohane akisema maneno hayo, wakamfuata Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Hao wanafunzi walimsikia Yohane akisema maneno hayo, wakamfuata Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Wale wanafunzi wawili walipomsikia Yahya akisema haya, wakamfuata Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Wale wanafunzi wawili walipomsikia Yahya akisema haya, wakamfuata Isa.

Tazama sura Nakili




Yohana 1:37
9 Marejeleo ya Msalaba  

Akamtazama Yesu, akitembea, akasema, Tazama, Mwana Kondoo wa Mungu!


Wakamwambia, Rabbi (tafsiri yake, Mwalimu), unakaa wapi? Akawaambia, Njoni muone.


Siku ya pili yake Yesu akataka kuondoka kwenda Galilaya, akamwona Filipo, akamwambia, Nifuate.


Bassi imani, chanzo chake ni kusikla; na kusikia kunakuja kwa neno la Mungu.


Neno lo lote lililo ovu lisitoke vinywani mwenu, bali lililo jema la kumfaa mwenye kuhitaji, liwape neema wanaosikia.


Na Roho na Bibi arusi wasema, Njoo. Nae asikiae aseme, Njoo. Nae aliye na kiu, na aje: na apendae ayatwae maji ya uzima burre.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo