Yohana 1:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192136 Akamtazama Yesu, akitembea, akasema, Tazama, Mwana Kondoo wa Mungu! Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Alipomwona Yesu akipita, akasema, “Tazameni! Huyu ndiye Mwanakondoo wa Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Alipomwona Yesu akipita, akasema, “Tazameni! Huyu ndiye Mwanakondoo wa Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Alipomwona Yesu akipita, akasema, “Tazameni! Huyu ndiye Mwanakondoo wa Mungu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Alipomwona Isa akipita, akasema, “Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Alipomwona Isa akipita, akasema, “Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu!” Tazama sura |