Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 1:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

35 Tena siku ya pili yake Yohana alikuwa amesimama na wawili katika wanafunzi wake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Kesho yake, Yohane alikuwa tena mahali hapo pamoja na wanafunzi wake wawili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Kesho yake, Yohane alikuwa tena mahali hapo pamoja na wanafunzi wake wawili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Kesho yake, Yohane alikuwa tena mahali hapo pamoja na wanafunzi wake wawili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Siku iliyofuata, Yahya alikuwa huko tena pamoja na wanafunzi wake wawili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Siku iliyofuata, Yahya alikuwa huko tena pamoja na wanafunzi wake wawili.

Tazama sura Nakili

Yohana 1:35
5 Marejeleo ya Msalaba  

Siku ya pili yake Yohana amwona Yesu anakuja kwake, akanena, Tazama, Mwana Kondoo wa Mungu, aichukuae dhambi ya ulimwengu!

Siku ya pili yake Yesu akataka kuondoka kwenda Galilaya, akamwona Filipo, akamwambia, Nifuate.

NA siku ya tatu palikuwa arusi katika Kana ya Galilaya, na mama yake Yesu alikuwako.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo