Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 1:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Haya yalifanyika Bethania ngʼambu ya Yardani, alikokuwako Yohana akibatiza.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Mambo haya yalifanyika huko Bethania, ngambo ya mto Yordani ambako Yohane alikuwa anabatiza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Mambo haya yalifanyika huko Bethania, ngambo ya mto Yordani ambako Yohane alikuwa anabatiza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Mambo haya yalifanyika huko Bethania, ng'ambo ya mto Yordani ambako Yohane alikuwa anabatiza.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Mambo haya yote yalitukia huko Bethania, ng’ambo ya Yordani, mahali Yahya alipokuwa akibatiza.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Mambo haya yote yalitukia huko Bethania, ng’ambo ya Mto Yordani, mahali Yahya alipokuwa akibatiza.

Tazama sura Nakili




Yohana 1:28
6 Marejeleo ya Msalaba  

Siku ya pili yake Yesu akataka kuondoka kwenda Galilaya, akamwona Filipo, akamwambia, Nifuate.


Akaenda zake tena ngʼambu ya Yardani, hatta pahali ptile alipokuwa Yohana akihatiza hapo kwanza; akakaa huko. Watu wengi wakamwendea, wakanena,


Mbona marhamu haya hayakuuzwa kwa dinari mia tatu, na kupewa maskini?


Yohana nae alikuwa akibatiza huko Ainon, karibu na Salim, kwa sababu palikuwa na maji tele; watu wakamwendea wakabatizwa.


Wakamwendea Yohana, wakamwambia, Rabbi, yeye aliyekuwa pamoja nawe ngʼambu ya Yardani, uliyemshuhudia wewe, huyu nae anabatiza, na watu wote wanamwendea.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo