Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 1:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Wakamwuliza, wakimwambia, Mbona bassi wabatiza, kama wewe si Kristo, wala Eliya, wala nabii yule?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Basi, wakamwuliza Yohane, “Kama wewe si Masiha, wala Elia, wala yule nabii, mbona wabatiza?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Basi, wakamwuliza Yohane, “Kama wewe si Masiha, wala Elia, wala yule nabii, mbona wabatiza?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Basi, wakamwuliza Yohane, “Kama wewe si Masiha, wala Elia, wala yule nabii, mbona wabatiza?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 wakamuuliza, “Kama wewe si Al-Masihi, wala si Ilya na wala si yule Nabii, kwa nini basi unabatiza?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 wakamuuliza, “Kama wewe si Al-Masihi, wala si Ilya na wala si yule Nabii, kwa nini basi unabatiza?”

Tazama sura Nakili

Yohana 1:25
10 Marejeleo ya Msalaba  

Makutano wakanena, Huyu ni Yesu, yule nabii wa Nazareti ya Galilaya.

Hatta alipokwisha kuingia hekaluni, makuhani wakuu na wazee wa watu wakamwendea alipokuwa akifundisha, wakinena, Kwa mamlaka gani unafanya haya? Na nani aliyekupa mamlaka haya?

wakabatizwa nae mtoni Yordani, wakiziungama dhambi zao.

Nao waliotumwa walitoka kwa Mafarisayo.

Je! hatukuwaamuru ninyi kwa nguvu, msifundishe kwa jina hili: nanyi mmeijaza Yerusalemi mafundisho yenu, na mnataka kuleta damu ya mtu yule juu yetu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo