Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 1:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Akasema, Mimi ni sauti ya mtu apaazae sauti jangwani, Inyosheni njia ya Bwana! kama alivyonena nabii Isaya.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Yohane akawajibu, “Mimi ndiye yule ambaye nabii Isaya alisema habari zake: ‘Sauti ya mtu anaita jangwani: Nyosheni njia ya Bwana.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Yohane akawajibu, “Mimi ndiye yule ambaye nabii Isaya alisema habari zake: ‘Sauti ya mtu anaita jangwani: Nyosheni njia ya Bwana.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Yohane akawajibu, “Mimi ndiye yule ambaye nabii Isaya alisema habari zake: ‘Sauti ya mtu anaita jangwani: Nyosheni njia ya Bwana.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Akawajibu kwa maneno ya nabii Isaya, akisema, “Mimi ni sauti ya mtu aliaye nyikani, ‘Yanyoosheni mapito ya Mwenyezi Mungu.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Akawajibu kwa maneno ya nabii Isaya, akisema, “Mimi ni sauti ya mtu aliaye nyikani, ‘Yanyoosheni mapito ya Mwenyezi Mungu.’ ”

Tazama sura Nakili

Yohana 1:23
9 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa sababu huyo ndiye aliyenenwa na nabii Isaya, akisema, Sauti yake apigae mbin jangwani, Itengenezeni njia ya Bwana, Nyosheni mapito yake.

Sauti yake aliae jangwani, Itengenezeni njia ya Bwana, Nyosheni mapito yake.

Bassi wakamwambia, U nani? tuwape majibu waliotupeleka. Wajinenaje?

Nao waliotumwa walitoka kwa Mafarisayo.

Ninyi wenyewe mwanishuhudia ya kwamba nalisema, Mimi siye Kristo, bali nimetumwa mbele yake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo