Yohana 1:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192122 Bassi wakamwambia, U nani? tuwape majibu waliotupeleka. Wajinenaje? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Nao wakamwuliza, “Basi, wewe ni nani? Wasema nini juu yako mwenyewe? Tuambie, ili tuwapelekee jibu wale waliotutuma.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Nao wakamwuliza, “Basi, wewe ni nani? Wasema nini juu yako mwenyewe? Tuambie, ili tuwapelekee jibu wale waliotutuma.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Nao wakamwuliza, “Basi, wewe ni nani? Wasema nini juu yako mwenyewe? Tuambie, ili tuwapelekee jibu wale waliotutuma.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Ndipo wakasema, “Basi tuambie wewe ni nani ili tupate jibu la kuwapelekea wale waliotutuma. Wewe wasemaje juu yako mwenyewe?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Ndipo wakasema, “Basi tuambie wewe ni nani ili tupate jibu la kuwapelekea wale waliotutuma. Wewe wasemaje juu yako mwenyewe?” Tazama sura |