Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 1:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Nae aliungama wala hakukana; aliungama, Mimi siye Kristo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Yohane hakukataa kujibu swali hilo, bali alisema waziwazi, “Mimi siye Kristo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Yohane hakukataa kujibu swali hilo, bali alisema waziwazi, “Mimi siye Kristo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Yohane hakukataa kujibu swali hilo, bali alisema waziwazi, “Mimi siye Kristo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Yahya alikiri waziwazi pasipo kuficha, akasema, “Mimi si Al-Masihi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Yahya alikiri waziwazi pasipo kuficha akasema, “Mimi si Al-Masihi.”

Tazama sura Nakili




Yohana 1:20
6 Marejeleo ya Msalaba  

Huyu hakuwa ile nuru, illakini aishuhudie ile nuru.


Nae Yohana alipokuwa akimaliza mwendo wake alinena, Mwanidhani mimi kuwa nani? Mimi siye. Lakini, angalieni, anakuja mmoja nyuma yangu ambae mimi sistahili kumlegezea viatu vya miguu yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo