Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yakobo 5:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Bassi, na ninyi subirini, jithubutisheni mioyo yenu, kwa maana kuja kwake Bwana kunakaribia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Nanyi pia mnapaswa kuwa na subira; imarisheni mioyo yenu, maana siku ya kuja kwake Bwana inakaribia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Nanyi pia mnapaswa kuwa na subira; imarisheni mioyo yenu, maana siku ya kuja kwake Bwana inakaribia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Nanyi pia mnapaswa kuwa na subira; imarisheni mioyo yenu, maana siku ya kuja kwake Bwana inakaribia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Ninyi nanyi vumilieni, tena simameni imara, kwa sababu kuja kwa Bwana Isa kumekaribia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Ninyi nanyi vumilieni, tena simameni imara, kwa sababu kuja kwa Bwana Isa kumekaribia.

Tazama sura Nakili




Yakobo 5:8
24 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa subira yenu mtazipata robo zenu.


Yesu akamwambia, Nikitaka huyu akae hatta nijapo imekukhusu nini? wewe unifuate mimi.


Bali tukikitumaini kitu tusichokiona, twakingojea kwa uvumilivu.


Lakini matunda ya Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu,


Upole wenu ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu.


na kumugojea Mwana wake kutoka mbinguni, ambae alimfufua katika wafu, Yesu, anaetuokoa na ghadhabu itakayokuja.


Maana tumnini letu, au furaha yetu, an taji ya kujisifu ni nini? Si ninyi, mbele za Bwana wetu Yesu Kristo wakati wa kuja kwake?


apate kuifanya imara mioyo yenu iwe bila lawama katika utakatifu mbele za Mungu, Baba yetu, wakati wa kuja kwake Bwaua wetu Yesu pamoja na watakatifu wake wote.


Bwana awaongozeni mioyo yenu mkapate pendo la Mungu, na uvumilivu wa Kristo.


Dhahabu yenu na fedha yenu zimeingia kutu, na kutu yake itakushuhudieni, nayo itakula miili yenu kama moto. Mmejiwekea akiba katika siku hizi za mwisho.


Msinungʼunikiane, ndugu, msije mkahukumiwa. Angalieni, mwamuzi amesimama mbele ya milango.


Mwisho wa mamho yote umekaribia; bassi, mwe na akili, mkakeshe katika sala:


Yeye mwenye kuyashuhudia haya asema, Naam; Naja upesi. Amin: na uje Bwana Yesu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo