Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yakobo 5:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Angalieni, ujira wa wakulima waliovuna mashamba yenu, uliozuiliwa nanyi kwa hila, unapiga kelele, na vilio vyao waliovuna vimeingia masikioni mwa Bwana wa Sabaoth.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Hamkuwalipa mishahara watumishi waliofanya kazi katika mashamba yenu. Sikilizeni malalamiko yao! Kilio cha hao wanaovuna mashamba yenu kimefika masikioni mwa Bwana wa majeshi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Hamkuwalipa mishahara watumishi waliofanya kazi katika mashamba yenu. Sikilizeni malalamiko yao! Kilio cha hao wanaovuna mashamba yenu kimefika masikioni mwa Bwana wa majeshi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Hamkuwalipa mishahara watumishi waliofanya kazi katika mashamba yenu. Sikilizeni malalamiko yao! Kilio cha hao wanaovuna mashamba yenu kimefika masikioni mwa Bwana wa majeshi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Angalieni! Ule ujira wa vibarua waliolima mashamba yenu mliouzuia kwa hila unapiga kelele dhidi yenu, na vilio vya wavunaji vimefika masikioni mwa Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Angalieni! Ule ujira wa vibarua waliolima mashamba yenu mliouzuia kwa hila unapiga kelele dhidi yenu na vilio vya wavunaji vimefika masikioni mwa Bwana Mwenye Nguvu Zote.

Tazama sura Nakili

Yakobo 5:4
23 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo akawaambia wanafunzi wake, Mavuno ni makubwa, bali watenda kazi wachache.

Bassi Mungu je! hatawapatia haki wateule wake wanaomlilia mchana na usiku, nae ni mvumilivu kwao? Nawaambieni atawapatia haki upesi.

Na kama isaya alivyotangulia kunena, Kama Bwana wa Sabaoth asingalituachia uzao, Tungalikuwa kama Sodoma, tungalifananishwa na Gomora.

NINYI bwana, wapeni watumwa wenu yaliyo haki na ya adili, mkijua ya kuwa ninyi nanyi mna Bwana mbinguni.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo