Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yakobo 5:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Mali zenu zimeoza, na mavazi yenu yameliwa na nondo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Mali zenu zimeoza, na nguo zenu zimeliwa na nondo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Mali zenu zimeoza, na nguo zenu zimeliwa na nondo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Mali zenu zimeoza, na nguo zenu zimeliwa na nondo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Utajiri wenu umeoza, na mavazi yenu yameliwa na nondo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Utajiri wenu umeoza na mavazi yenu yameliwa na nondo.

Tazama sura Nakili




Yakobo 5:2
10 Marejeleo ya Msalaba  

Viuzeni mlivyo navyo, katoeni sadaka, jifanyieni mifuko isiyochakaa, akiba isiyopungua katika mbingu, asikokaribia mwizi, wala nondo kuharibu.


Maana akiingia katika sunagogi lenu mtu mwenye pete ya dhahabu na mavazi mazuri, na akiingia na maskini, mwenye mavazi mabovu;


tupate urithi usioharibika, usio na uchafu, usionyauka, uliotunzwa mbinguni kwa ajili yenu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo