Yakobo 5:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192114 Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? na awaite wazee wa kanisa wakamwombee, wakimpaka mafuta kwa jina la Bwana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Je, yuko mgonjwa kati yenu? Anapaswa kuwaita wazee wa kanisa, nao watamwombea na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Je, yuko mgonjwa kati yenu? Anapaswa kuwaita wazee wa kanisa, nao watamwombea na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Je, yuko mgonjwa kati yenu? Anapaswa kuwaita wazee wa kanisa, nao watamwombea na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Je, kuna yeyote miongoni mwenu aliye mgonjwa? Basi inampasa awaite wazee wa kundi la waumini wamwombee na kumpaka mafuta kwa Jina la Bwana Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Je, kuna yeyote miongoni mwenu aliye mgonjwa? Basi inampasa awaite viongozi wa kundi la waumini, nao wamwombee na kumpaka mafuta kwa Jina la Bwana Isa. Tazama sura |