Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yakobo 5:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 HAYA bassi, enyi matajiri! lieni yowe kwa sababu ya mashaka yanayokujieni.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Na sasa sikilizeni enyi matajiri! Lieni na kuomboleza kwa sababu ya taabu zitakazowajieni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Na sasa sikilizeni enyi matajiri! Lieni na kuomboleza kwa sababu ya taabu zitakazowajieni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Na sasa sikilizeni enyi matajiri! Lieni na kuomboleza kwa sababu ya taabu zitakazowajieni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Basi sikilizeni, ninyi matajiri, lieni na kuomboleza kwa ajili ya hali mbaya sana inayowajia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Basi sikilizeni, ninyi matajiri, lieni na kuomboleza kwa ajili ya hali mbaya sana inayowajia.

Tazama sura Nakili

Yakobo 5:1
36 Marejeleo ya Msalaba  

Maana jua huchomoza kwa hari, huyakausha majani; na lake huanguka, uzuri wa umbo lake hupotea; vivyo hivyo nae tajiri atanyauka katika njia zake.

Bali ninyi mmemvunjia heshima maskini. Je! matajiri hawawaonei ninyi na kuwavuta mbele ya viti vya hukumu?

Haya bassi, ninyi msemao, Leo au kesho tutaingia mji fullani na kukaa humo mwaka mzima, na kufanya biashara na kupata faida; nanyi hamjui yatakayokuwa kesho.

Jihuzunisheni na kuomboleza na kulia. Kucheka kwenu kugeuzwe kuwa kuomboleza na furaha yenu kuwa hamu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo