Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yakobo 4:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Jihuzunisheni na kuomboleza na kulia. Kucheka kwenu kugeuzwe kuwa kuomboleza na furaha yenu kuwa hamu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Oneni huzuni, lieni na kuomboleza; kicheko chenu na kiwe kilio; na furaha yenu iwe huzuni kubwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Oneni huzuni, lieni na kuomboleza; kicheko chenu na kiwe kilio; na furaha yenu iwe huzuni kubwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Oneni huzuni, lieni na kuomboleza; kicheko chenu na kiwe kilio; na furaha yenu iwe huzuni kubwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Huzunikeni, na mwomboleze, na kulia. Kicheko chenu na kigeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa huzuni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Huzunikeni, ombolezeni na kulia. Kicheko chenu na kigeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa huzuni.

Tazama sura Nakili




Yakobo 4:9
25 Marejeleo ya Msalaba  

Wakamwambia, Atawaangamiza wabaya wale; nae atawapangisha mizabibu wakulima wengine, watakaomlipa matunda kwa wakati wake.


Wa kheri wenye huzuni: maana hawo watafarajika.


Ibrahimu akasema, Mwanangu, kumbuka ya kuwa ulipokea mema yako katika maisha yako, na Lazaro kadhalika mabaya; lakini sasa yeye yupo hapa anafarajiwa, nawe unanmizwa.


M kheri ninyi mnaoona njaa sasa: kwa subabu mtashiba. M kheri ninyi mliao sasa: kwa sababu mtacheka.


Ole wenu ninyi mlioshiba: kwa sababu mtaona njaa. Ole wenu ninyi mnaocheka sasa: kwa sababu mtaomboleza na kulia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo