Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yakobo 4:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Lakini sasa mwajisifu katika majivuno yenu; kujisifu kwote kwa namna hii ni kubaya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Lakini sasa mwajivuna na kujigamba; majivuno ya namna hiyo ni mabaya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Lakini sasa mwajivuna na kujigamba; majivuno ya namna hiyo ni mabaya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Lakini sasa mwajivuna na kujigamba; majivuno ya namna hiyo ni mabaya.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Ilivyo sasa, mnajisifu na kujigamba. Kujisifu kote kwa namna hii ni uovu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Kama ilivyo sasa, mnajisifu na kujigamba. Kujisifu kwa namna hiyo ni uovu.

Tazama sura Nakili




Yakobo 4:16
11 Marejeleo ya Msalaba  

Kujisifu kwenu si kuzuri. Hamjui kwamba chachu kidogo hulitia chachu donge zima?


Lakini, mkiwa na wivu wenye uchungu na magomvi mioyoni mwenu msijisifu, wala msiseme nwongo juu ya kweli.


Maana killa kilichomo duniani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, hazitokani na Baba, bali zatokana ua dunia.


Kwa kadiri aliyojitukuza na kufanya anasa, mpeni maumivu na huzuni kadiri hiyo hiyo. Kwa kuwa alisema moyoni mwake, Nimeketi malkiya, nami si mjane, wala sitaona huzuni kamwe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo