Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yakobo 4:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Badala ya kusema, Bwana akipenda, tutakuwa hayi na kufanya hivi au hivi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Mngalipaswa kusema: “Bwana akitujalia tutaishi na tutafanya hiki au kile.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Mngalipaswa kusema: “Bwana akitujalia tutaishi na tutafanya hiki au kile.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Mngalipaswa kusema: “Bwana akitujalia tutaishi na tutafanya hiki au kile.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Badala yake, inawapasa kusema, “Kama Mwenyezi Mungu akipenda, tutaishi na kufanya hili ama lile.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Badala yake, inawapasa kusema, “Kama Mwenyezi Mungu akipenda, tutaishi na kufanya hili ama lile.”

Tazama sura Nakili

Yakobo 4:15
10 Marejeleo ya Msalaba  

bali aliagana nao, akisema. Sina buddi kufanya siku kuu hii inayokuja Yerusalemi: lakini nitarejea kwenu, Mungu akinijalia.

nikiomba nije kwenu sasa katika siku hizi hizi, Mungu akipenda kuifanikisha safari yangu:

nipate kufika kwenu kwa furaha, kama Mungu akipenda, nikapate kupumzika pamoja nanyi.

Maana sitaki kuonana nanyi sasa, katika kupita tu, kwa sababu nataraja kukaa kwenu mda wa kitambo, Bwana akinijalia.

Lakini nitakuja kwemi upesi, Bwana akipenda, nami nitajua, si neno lao waliojivuna, bali nguvu zao.

Na tutafanya hayo kama Mungu akitujalia.

Lakini sasa mwajisifu katika majivuno yenu; kujisifu kwote kwa namna hii ni kubaya.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo