Yakobo 4:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192113 Haya bassi, ninyi msemao, Leo au kesho tutaingia mji fullani na kukaa humo mwaka mzima, na kufanya biashara na kupata faida; nanyi hamjui yatakayokuwa kesho. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Basi, sasa sikilizeni nyinyi mnaosema: “Leo au kesho tutakwenda katika mji fulani na kukaa huko mwaka mzima tukifanya biashara na kupata faida.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Basi, sasa sikilizeni nyinyi mnaosema: “Leo au kesho tutakwenda katika mji fulani na kukaa huko mwaka mzima tukifanya biashara na kupata faida.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Basi, sasa sikilizeni nyinyi mnaosema: “Leo au kesho tutakwenda katika mji fulani na kukaa huko mwaka mzima tukifanya biashara na kupata faida.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Basi sikilizeni ninyi msemao, “Leo au kesho tutaenda katika mji huu ama ule tukae humo mwaka mmoja, tufanye biashara na kupata faida.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Basi sikilizeni ninyi msemao, “Leo au kesho tutakwenda katika mji huu ama ule tukae humo mwaka mmoja, tufanye biashara na kupata faida.” Tazama sura |