Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yakobo 3:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Kwa huo twamhimidi Mungu Baba yetu, na kwa huo twawalaani wana Adamu waliofanywa kwa mfano wa Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Kwa ulimi sisi twamshukuru Bwana na Baba yetu. Kwa ulimi huhuo twawalaani watu, watu ambao wameumbwa kwa mfano wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Kwa ulimi sisi twamshukuru Bwana na Baba yetu. Kwa ulimi huhuo twawalaani watu, watu ambao wameumbwa kwa mfano wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Kwa ulimi sisi twamshukuru Bwana na Baba yetu. Kwa ulimi huhuo twawalaani watu, watu ambao wameumbwa kwa mfano wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Kwa ulimi tunamhimidi Mwenyezi Mungu na Baba yetu, na kwa huo twawalaani watu walioumbwa kwa mfano wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Kwa ulimi tunamhimidi Bwana Mwenyezi, yaani Baba yetu, na kwa huo twawalaani watu walioumbwa kwa mfano wa Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili




Yakobo 3:9
34 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo akaanza kulaani na kuapa, Simjui mtu huyu. Marra akawika jogoo.


bali mimi nawaambieni, Wapendeni adui zenu, wabarikini wanaowalaani, watendeni mema wanaowachukia, waombeeni wanaowatendea ukorofi, na kuwatesa;


Kwa hiyo moyo wangu ukapendezwa, ulimi wangu ukafurahi; Tena mwili wangu nao utakaa katika matumaini.


Vinywa vyao vimejaa laana na uchungu.


Kwa maana haimpasi mwanamume kufunikwa kichwa, kwa sababu ni mfano na utukufu wa Mungu. Lakini mwanake ni utukufu wa mwanamume.


Atukuzwe Mungu, Baba yake Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani ya Kristo;


Dini iliyo safi na isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika shidda yao, na kujilinda pasipo mawaa katika dunia.


Katika kinywa kile kile hutoka baraka na laana. Ndugu zangu, mambo haya hayapasi kuwa hivyo.


Ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, ambae kwa rehema zake nyingi alituzaa marra ya pili tupate tumaini lenye uzima kwa kufufuliwa kwake Yesu Kristo,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo