Yakobo 3:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19217 Maana killa aina ya nyama, na ya ndege, na ya nyama watambaao, na ya vitu vilivyo baharini vinafugika, navyo vimekwisha kufugwa na wana Adamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Binadamu anaweza kuwafuga wanyama, na amefaulu kufuga viumbe vyote – wanyama wa mwituni, ndege, nyoka na viumbe vya baharini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Binadamu anaweza kuwafuga wanyama, na amefaulu kufuga viumbe vyote – wanyama wa mwituni, ndege, nyoka na viumbe vya baharini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Binadamu anaweza kuwafuga wanyama, na amefaulu kufuga viumbe vyote — wanyama wa mwituni, ndege, nyoka na viumbe vya baharini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Kwa maana kila aina ya wanyama, ndege, wanyama watambaao na viumbe vya baharini hufugika na hufugwa na binadamu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kwa maana kila aina ya wanyama, ndege, wanyama watambaao na viumbe vya baharini vinafugika na vimefugwa na binadamu, Tazama sura |