Yakobo 3:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19215 Vivyo hivyo ulimi nao ni kiungo kidogo, na hujivuna majivuno makuu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Vivyo hivyo, ulimi, ingawa ni kiungo kidogo cha mwili, hujisifia makuu sana. Moto mdogo waweza kuteketeza msitu mkubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Vivyo hivyo, ulimi, ingawa ni kiungo kidogo cha mwili, hujisifia makuu sana. Moto mdogo waweza kuteketeza msitu mkubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Vivyo hivyo, ulimi, ingawa ni kiungo kidogo cha mwili, hujisifia makuu sana. Moto mdogo waweza kuteketeza msitu mkubwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Vivyo hivyo ulimi ni kiungo kidogo sana katika mwili, lakini hujivuna majivuno makuu. Fikirini jinsi moto mdogo unavyoweza kuteketeza msitu mkubwa! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Vivyo hivyo ulimi ni kiungo kidogo sana katika mwili, lakini hujivuna majivuno makuu. Fikirini jinsi moto mdogo unavyoweza kuteketeza msitu mkubwa! Tazama sura |