Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yakobo 3:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Kaziangalieni merikebu; ingawa ni kubwua namna gani, na kuchukuliwa na pepo kali, zageuzwa na usukani mdogo sana, ko kote aazimuko kwenda yule aongozae.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Meli nazo pia, ingawa ni kubwa sana, na husukumwa na upepo mkali, huweza kugeuzwa kwa usukani mdogo sana, zikaelekea kokote nahodha anakotaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Meli nazo pia, ingawa ni kubwa sana, na husukumwa na upepo mkali, huweza kugeuzwa kwa usukani mdogo sana, zikaelekea kokote nahodha anakotaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Meli nazo pia, ingawa ni kubwa sana, na husukumwa na upepo mkali, huweza kugeuzwa kwa usukani mdogo sana, zikaelekea kokote nahodha anakotaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Au chukua mfano wa meli: ingawa ni kubwa sana, nazo hupelekwa na upepo mkali, zinaelekezwa kwa usukani mdogo sana kokote wanakotaka nahodha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Au angalia pia meli, ingawa ni kubwa sana, nazo huchukuliwa na upepo mkali, lakini hugeuzwa kwa usukani mdogo sana, kokote anakotaka nahodha.

Tazama sura Nakili

Yakobo 3:4
8 Marejeleo ya Msalaba  

Nimekabidhiwa vyote na Baba yangu: wala hakuna mtu amjuae Mwana, illa Baba; wala hakuna mtu amjuae Baba illa Mwana, na ye yote ambae Mwana apenda kumfunulia.

Kukawa msukosuko mkuu baharini, hatta chombo kikafunikizwa na mawimbi: nae alikuwa amelala.

Lakini yule akida akawasikiliza nakhodha na mwenye merikebu zaidi ya yale aliyoyasema Paolo.

Angalieni, twatia lijamu katika vinywa vya farasi, illi watutii, na twageuza mwili wao wote.

Vivyo hivyo ulimi nao ni kiungo kidogo, na hujivuna majivuno makuu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo