Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yakobo 3:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Angalieni, twatia lijamu katika vinywa vya farasi, illi watutii, na twageuza mwili wao wote.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Sisi huwatia farasi lijamu kinywani mwao ili watutii; na kwa njia hiyo twaweza kuwaongoza kokote tunakotaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Sisi huwatia farasi lijamu kinywani mwao ili watutii; na kwa njia hiyo twaweza kuwaongoza kokote tunakotaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Sisi huwatia farasi lijamu kinywani mwao ili watutii; na kwa njia hiyo twaweza kuwaongoza kokote tunakotaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Tunapotia lijamu kwenye vinywa vya farasi ili kuwafanya watutii, tunaweza kuigeuza miili yao yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Tunapotia lijamu kwenye vinywa vya farasi ili kuwafanya watutii, tunaweza kuigeuza miili yao yote.

Tazama sura Nakili

Yakobo 3:3
7 Marejeleo ya Msalaba  

Mtu akidhani ya kuwa ana dini, nae hazuii ulimi wake kwa khatamu, akijidanganya moyo wake, dini yake mtu yule haifai.

Kaziangalieni merikebu; ingawa ni kubwua namna gani, na kuchukuliwa na pepo kali, zageuzwa na usukani mdogo sana, ko kote aazimuko kwenda yule aongozae.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo