Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yakobo 3:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 maana hapo palipo wivu na magomvi, ndipo palipo machafuko, na killa tendo la aibu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Maana popote palipo na wivu na ubinafsi, hapo pana fujo na kila aina ya uovu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Maana popote palipo na wivu na ubinafsi, hapo pana fujo na kila aina ya uovu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Maana popote palipo na wivu na ubinafsi, hapo pana fujo na kila aina ya uovu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Kwa maana panapokuwa na wivu na ubinafsi, ndipo penye machafuko na uovu wa kila namna.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Kwa maana panapokuwa na wivu na ubinafsi, ndipo penye machafuko na uovu wa kila namna.

Tazama sura Nakili




Yakobo 3:16
11 Marejeleo ya Msalaba  

na nyumba ikifitinika juu ya nafsi yake, nyumba ile haiwezi kusimama.


Mji wote ukajaa ghasia, wakaenda mbio wakaingia theatro kwa moyo mmoja, wakiisha kuwakamata Gaio na Aristarko, watu wa Makedonia waliosafiri pamoja na Paolo.


na wale wenye fitina, wasioitii kweli, bali wakubalio dhuluma, hasira na ghadhabu;


Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko, bali wa amani; vile vile kama ilivyo katika makanisa yote ya watakatifu.


Maana, ikiwa kwenu kuna husuda na fitina na faraka, je! si watu wa tabia za mwilini ninyi; tena mnaenenda kwa jinsi ya kibinadamu.


Maana naogopa, nisije nikawakuta si kama vile nitakavyo kuwakuta, nikaonekane kwenu si kama vile mtakavyo: nisije nikakuta labuda fitina, na wivu, na hasira, na ugomvi, na masingizio, na manongʼonezo, na majivuno, na ghasia;


ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, nzushi,


Lakini, mkiwa na wivu wenye uchungu na magomvi mioyoni mwenu msijisifu, wala msiseme nwongo juu ya kweli.


si kama Kain alivyokuwa wa yule Mwovu, akamwua ndugu yake. Nae alimwua kwa sababu gani? Kwa sababu matendo yake yalikuwa mabaya, na ya ndugu yake ya haki.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo