Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yakobo 3:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Ndugu zangu, mtini waweza kuzaa mazeituni au mzabibu tini? Kadhalika chemchemi haiwezi kutoa maji ya chumvi na niaji matamu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Ndugu zangu, je, mtini waweza kuzaa zeituni? Au, mzabibu waweza kuzaa tini? Chemchemi ya maji ya chumvi haiwezi kutoa maji matamu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Ndugu zangu, je, mtini waweza kuzaa zeituni? Au, mzabibu waweza kuzaa tini? Chemchemi ya maji ya chumvi haiwezi kutoa maji matamu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Ndugu zangu, je, mtini waweza kuzaa zeituni? Au, mzabibu waweza kuzaa tini? Chemchemi ya maji ya chumvi haiwezi kutoa maji matamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Je, ndugu zangu, mtini unaweza kuzaa zeituni, au mzabibu kuzaa tini? Wala chemchemi ya maji ya chumvi haiwezi kutoa maji matamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Je, ndugu zangu, mtini waweza kuzaa zeituni, au mzabibu kuzaa tini? Wala chemchemi ya maji ya chumvi haiwezi kutoa maji matamu.

Tazama sura Nakili

Yakobo 3:12
11 Marejeleo ya Msalaba  

Ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake kuwa mazuri; au ufanyeni mti kuwa mbaya na matunda yake mabaya, kwa maana kwa matunda yake mti hujulikana.

Akaona mtini mmoja kando ya njia, akauendea, asione kitu juu yake illa majani tu; akauambia, Yasipatikane matunda kwako tangu leo hatta milele. Mtini ukauyauka marra moja.

Je! chemchemi katika jicho moja hutoa maji matamu na maji machungu?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo