Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yakobo 3:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Je! chemchemi katika jicho moja hutoa maji matamu na maji machungu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Je, chemchemi moja yaweza kutoa maji matamu na maji machungu pamoja?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Je, chemchemi moja yaweza kutoa maji matamu na maji machungu pamoja?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Je, chemchemi moja yaweza kutoa maji matamu na maji machungu pamoja?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Je, chemchemi moja inaweza kutoa katika tundu moja maji matamu na maji ya chumvi?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Je, chemchemi yaweza kutoa katika tundu moja maji matamu na maji ya chumvi?

Tazama sura Nakili




Yakobo 3:11
3 Marejeleo ya Msalaba  

Katika kinywa kile kile hutoka baraka na laana. Ndugu zangu, mambo haya hayapasi kuwa hivyo.


Ndugu zangu, mtini waweza kuzaa mazeituni au mzabibu tini? Kadhalika chemchemi haiwezi kutoa maji ya chumvi na niaji matamu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo