Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yakobo 3:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Katika kinywa kile kile hutoka baraka na laana. Ndugu zangu, mambo haya hayapasi kuwa hivyo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Maneno ya kubariki na ya kulaani hutoka katika kinywa kimoja. Ndugu zangu, mambo haya hayapaswi kuwa hivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Maneno ya kubariki na ya kulaani hutoka katika kinywa kimoja. Ndugu zangu, mambo haya hayapaswi kuwa hivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Maneno ya kubariki na ya kulaani hutoka katika kinywa kimoja. Ndugu zangu, mambo haya hayapaswi kuwa hivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Katika kinywa kile kile hutoka baraka na laana. Ndugu zangu, haistahili kuwa hivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Katika kinywa kile kile hutoka baraka na laana. Ndugu zangu, haistahili kuwa hivyo.

Tazama sura Nakili

Yakobo 3:10
14 Marejeleo ya Msalaba  

Wabarikini wanaowafukuzeni; barikini, wala msilaani.

Maana, ikiwa kwenu kuna husuda na fitina na faraka, je! si watu wa tabia za mwilini ninyi; tena mnaenenda kwa jinsi ya kibinadamu.

Na pamoja na hayo wajifunza kuwa wavivu, wakizungukazunguka nyumba kwa nyumba; wala si wavivu tu, lakini ni wachongezi, hujishughulisha na mambo ya wengine wakinena maneno yasiyowapasa.

Msidanganyike, ndugu zangu wapenzi.

Bassi killa mtu awe mwepesi wa kusikia, mzito wa kusema, mzito wa ghadhabu;

MSIWE waalimu wengi, ndugu zangu, mkijua ya kuwa tutapata hukumu kubwa zaidi.

Je! chemchemi katika jicho moja hutoa maji matamu na maji machungu?

Kwa huo twamhimidi Mungu Baba yetu, na kwa huo twawalaani wana Adamu waliofanywa kwa mfano wa Mungu.

watu wasiolipa baya badala ya baya, au laumu badala ya laumu; bali wabarikio; kwa sababu ndiyo mlioitiwa illi mrithi baraka.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo