Yakobo 3:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19211 MSIWE waalimu wengi, ndugu zangu, mkijua ya kuwa tutapata hukumu kubwa zaidi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Ndugu zangu, wengi wenu msiwe waalimu. Kama mjuavyo, sisi waalimu tutapata hukumu kubwa zaidi kuliko wengine. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Ndugu zangu, wengi wenu msiwe waalimu. Kama mjuavyo, sisi waalimu tutapata hukumu kubwa zaidi kuliko wengine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Ndugu zangu, wengi wenu msiwe waalimu. Kama mjuavyo, sisi waalimu tutapata hukumu kubwa zaidi kuliko wengine. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ndugu zangu, msiwe walimu wengi, kwa maana mnafahamu kwamba sisi tufundishao tutahukumiwa vikali zaidi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Ndugu zangu, msiwe walimu wengi, kwa maana mnafahamu kwamba sisi tufundishao tutahukumiwa vikali zaidi. Tazama sura |