Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yakobo 2:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Bali mkiwapendelea watu, mwafanya dhambi na kuhukumiwa na sharia kama wakosaji.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Lakini mkiwabagua watu, basi, mwatenda dhambi, nayo sheria inawahukumu nyinyi kuwa mna hatia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Lakini mkiwabagua watu, basi, mwatenda dhambi, nayo sheria inawahukumu nyinyi kuwa mna hatia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Lakini mkiwabagua watu, basi, mwatenda dhambi, nayo sheria inawahukumu nyinyi kuwa mna hatia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Lakini mkiwapendelea watu, mnatenda dhambi, na sheria inawahukumu kuwa wakosaji.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Lakini kama mnakuwa na upendeleo kwa watu, mnatenda dhambi, na sheria inawahukumu kuwa ninyi ni wakosaji.

Tazama sura Nakili




Yakobo 2:9
13 Marejeleo ya Msalaba  

Na akiisha kuja yeye, atauhakikisha ulimwengu kwa khabari ya dhambi, na haki, na hukumu;


Nani wenu anishuhudiae kuwa nina dhambi? Nikisema kweli, mbona ninyi hamniamini?


Nao, waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianza tangu wazee hatta wa mwisho; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke akisimama katikati.


Petro akafumhua kiuywa chake, akasema, Hakika nimekwisha kutambua ya kuwa Mungu hana upendeleo;


kwa maana hapana mwenye mwili atakaehesabiwa kuwa na haki mbele za Mungu, kwa matendo ya sheria: kwa maanii kujua dhambi kabisa huja kwa njia ya sharia.


Lakini wote wakikhutubu, akaingia mtu asiyeamini, au mjinga, alaumiwa na wote, ahukumiwa na wote;


Maana mimi kwa sharia naliifia sharia illi nimwishie Mungu.


Killa afanyae dhambi, afanya nasi; kwa kuwa dhambi ni nasi.


illi afanye hukumu juu ya waiu wote, na kuwaadhibisha wote wasiomcha Mungu, kwa ajili ya kazi zao zote walizoziteuda bila kumcha Mungu, na kwa ajili ya maneno magumu yote ambayo hawo wenye dhambi wasiomcha Mungu wameyanena juu yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo