Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yakobo 2:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Illakini mkiitimiza sharia ya kifalme kama ilivyoandikwa. Mpende jirani yako kama nafsi yako, mwatenda vyema.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Kama mnaitimiza ile sheria ya ufalme kama ilivyoandikwa katika Maandiko Matakatifu: “Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe”, mtakuwa mnafanya vema kabisa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Kama mnaitimiza ile sheria ya ufalme kama ilivyoandikwa katika Maandiko Matakatifu: “Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe”, mtakuwa mnafanya vema kabisa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Kama mnaitimiza ile sheria ya ufalme kama ilivyoandikwa katika Maandiko Matakatifu: “Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe”, mtakuwa mnafanya vema kabisa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Kama kweli mnaitimiza ile sheria ya kifalme inayopatikana katika Maandiko, isemayo, “Mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako,” mnafanya vyema.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Kama kweli mnaitimiza ile sheria ya kifalme inayopatikana katika Maandiko isemayo, “Mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako,” mnafanya vyema.

Tazama sura Nakili




Yakobo 2:8
23 Marejeleo ya Msalaba  

Na ya pili yafanana nayo, ndiyo hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako.


Bwana wake akamwambia, Vema, mtumishi mwema, na amini: ulikuwa amini kwa machache, nitakuweka juu ya mengi: ingia katika furaha ya bwana wako.


Bwana wake akamwambia, Vema, mtumishi mwema na amini: ulikuwa amini kwa machache, nitakuweka juu ya mengi: ingia katika furaha ya bwana wako.


Bassi yo yote mtakayo kutendewa na watu, nanyi mwatendee vivyo hivyo: maana hiyo ndiyo torati na manabii.


Peudo halimfanyizii jirani neno baya; bassi pendo ndio utimilifu wa sharia.


Maana sharia yote imetimilika katika neno moja, nalo ni hili, Umpende jirani yako kama nafsi yako.


Mchukuliane mizigo mkaitimize hivyo sharia ya Kristo.


Lakini mlifanya vema sana, mkishiriki nami mateso yangu.


Kwa khabari ya upendano, hamna haja niwaandikie: maana ninyi wenyewe mmefundishwa na Mungu kupendana.


Lakini aliyeitazama sharia kamilifu ya uhuru, na kukaa humo, asiwe msikiaji msahaulifu, bali mtendaji wa kazi, huyu atakuwa wa kheri katika kutenda kwake.


Semeni ninyi, katendeni kama watu watakaohukumiwa kwa sharia ya uhuru.


Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja; watenda vyema. Mashetani nao waamini na kutetemeka.


Msisingiziane, ndugu; amsingiziae ndugu yake, au kumhukumu ndugu yake, aisingizia sharia na kuihukumu sharia. Lakini ukiihukumu sharia, huwi mtenda sharia, bali mhukumu.


Bali ninyi m mzao mteule, ukubani wa kifaume, taifa takatifu, watu wa milki, mpate kutangaza fadhili zake aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo