Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yakobo 2:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 je! hamkufanya ihtilafu mioyoni mwenu mkawa waamuzi wenye mawazo mabovu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 je, huo si ubaguzi kati yenu? Je, na huo uamuzi wenu haujatokana na fikira mbaya?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 je, huo si ubaguzi kati yenu? Je, na huo uamuzi wenu haujatokana na fikira mbaya?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 je, huo si ubaguzi kati yenu? Je, na huo uamuzi wenu haujatokana na fikira mbaya?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 je, hamjabagua kati yenu wenyewe na kuwa mahakimu wenye mawazo maovu?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 je, hamjawabagua na kuwa mahakimu mioyoni mwenu mkihukumu kwa mawazo yenu maovu?

Tazama sura Nakili




Yakobo 2:4
12 Marejeleo ya Msalaba  

Bwana akasema, Sikieni asemavyo yule kadhi asiye haki.


Msihukumu hukumu ya macho, bali ifanyeni hukumu iliyo ya haki.


Lakini hekima itokayo juu, kwanza ni safi, tena ni ya amani, ya upole,, tayari kusikiliza maneno ya watu, imejaa rehema na matunda mema, haina fitina wala unafiki;


Msisingiziane, ndugu; amsingiziae ndugu yake, au kumhukumu ndugu yake, aisingizia sharia na kuihukumu sharia. Lakini ukiihukumu sharia, huwi mtenda sharia, bali mhukumu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo