Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yakobo 2:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Mwaona kwamba mwana Adamu ahesabiwa kuwa ana haki kwa matendo yake; si kwa iinaui peke yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Mnaona, basi, kwamba mtu hukubaliwa kuwa mwadilifu kwa matendo yake, na si kwa imani peke yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Mnaona, basi, kwamba mtu hukubaliwa kuwa mwadilifu kwa matendo yake, na si kwa imani peke yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Mnaona, basi, kwamba mtu hukubaliwa kuwa mwadilifu kwa matendo yake, na si kwa imani peke yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Mnaona kwamba mtu huhesabiwa haki kwa yale anayotenda wala si kwa imani peke yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Mnaona ya kwamba mtu huhesabiwa haki kwa yale anayotenda wala si kwa imani peke yake.

Tazama sura Nakili




Yakobo 2:24
6 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, twahasibu ya kuwa mwana Adamu hupewa baki kwa imani pasipo matendo ya sharia.


Maandiko yale yakatimizwa yaliyonena, Ibrahimu alimwamini Mungu ikahesabiwa kwake kuwa ni haki: nae aliitwa raliki wa Mungu.


Na Rahab, yule kahaba nae, je! hakuhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo, alipowakaribisha wajumbe, akawatoa nje kwa njia nyingine?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo