Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yakobo 2:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Waona kwamba imani ilitenda kazi pamoja na matendo yake, na imani ile ilikamilishwa kwa matendo yale.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Waona, basi, kwamba imani yake iliandamana na matendo yake; imani yake ilikamilishwa kwa matendo yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Waona, basi, kwamba imani yake iliandamana na matendo yake; imani yake ilikamilishwa kwa matendo yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Waona, basi, kwamba imani yake iliandamana na matendo yake; imani yake ilikamilishwa kwa matendo yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Unaona jinsi imani yake na matendo yake vilikuwa vinatenda kazi pamoja, nayo imani yake ikakamilishwa na kile alichotenda.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Unaona jinsi ambavyo imani yake na matendo yake vilikuwa vinatenda kazi pamoja, nayo imani yake ikakamilishwa na kile alichotenda.

Tazama sura Nakili




Yakobo 2:22
8 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akajibu, akawaambia, Hii ni kazi ya Mungu, mmwamini yeye aliyetumwa nae.


Maana katika Kristo Yesu kutahiriwa hakufai neno wala kutokutahiriwa, bali imani itendayo kazi kwa upendo.


wala hatuachi kuikumbuka kazi yenu ya amani, na taabu yenu ya upendo, na uvumilivu wenu wa tumaini lililo katika Bwana Yesu Kristo, mbele za Mungu Baba yetu;


Lakini mtu atasema, Wewe una imani, nami nina matendo. Nionyeshe imani yako pasipo matendo yako, nami nitakuonyesha imani yangu kwa matendo yangu.


Lakiui yeye alishikae neno lake, katika huyo upendo wa Mungu umekamilika kweli kweli. Ilivi twajua ya kuwa tumo ndani yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo