Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yakobo 2:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Maana akiingia katika sunagogi lenu mtu mwenye pete ya dhahabu na mavazi mazuri, na akiingia na maskini, mwenye mavazi mabovu;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Tuseme mtu mmoja ambaye amevaa pete ya dhahabu na mavazi nadhifu anaingia katika mkutano wenu, na papo hapo akaingia mtu maskini aliyevaa mavazi machafu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Tuseme mtu mmoja ambaye amevaa pete ya dhahabu na mavazi nadhifu anaingia katika mkutano wenu, na papo hapo akaingia mtu maskini aliyevaa mavazi machafu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Tuseme mtu mmoja ambaye amevaa pete ya dhahabu na mavazi nadhifu anaingia katika mkutano wenu, na papo hapo akaingia mtu maskini aliyevaa mavazi machafu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Je, ikiwa mtu anakuja katika kusanyiko lenu akiwa amevaa pete ya dhahabu na mavazi mazuri, na kisha akaingia mtu maskini aliyevaa mavazi yaliyochakaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Kwa maana kama akija mtu katika kusanyiko lenu akiwa amevaa pete ya dhahabu na mavazi mazuri, pia akaingia mtu maskini mwenye mavazi yaliyochakaa,

Tazama sura Nakili

Yakobo 2:2
9 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini baba yake akawaambia watumishi wake, Ileteni joho iliyo bora, mkamvike: mpeni pete kwa kidole chake na viatu kwa miguu yake.

Bassi Herode akamtweza pamoja na askari zake akamdhihaki, akamvika mavazi mazurimazuri, akamrudisha kwa Pilato.

nanyi mkimstahi yule aliyevaa mavazi mazuri, na kumwambia, Keti wewe hapa mahali pazuri, na kumwambia yule maskini, Simama wewe pale, au keti miguuni pangu,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo