Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yakobo 2:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Vivyo hivyo na imani, isipokuwa na matendo, imekufa nafsini mwake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Vivyo hivyo, imani peke yake bila matendo imekufa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Vivyo hivyo, imani peke yake bila matendo imekufa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Vivyo hivyo, imani peke yake bila matendo imekufa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Vivyo hivyo, imani peke yake, kama haikuambatana na matendo, imekufa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Vivyo hivyo, imani peke yake kama haikuambatana na matendo, imekufa.

Tazama sura Nakili




Yakobo 2:17
9 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, sasa inabaki imani, tumaini, upendo, hizi tatu; na iliyo kuu katika hizi ni upendo.


Tena mkiwagawia maskini mali yangu yote, tena nikijitoa mwili wangu niungue moto, kama sina upendo, hainifaidii kitu.


Maana katika Kristo Yesu kutahiriwa hakufai neno wala kutokutahiriwa, bali imani itendayo kazi kwa upendo.


wala hatuachi kuikumbuka kazi yenu ya amani, na taabu yenu ya upendo, na uvumilivu wenu wa tumaini lililo katika Bwana Yesu Kristo, mbele za Mungu Baba yetu;


Bali kusudi la mausia hayo ni upendo utokao katika moyo safi na dhamiri njema, na imani isiyo na unafiki:


Yafaa nini, ndugu zangu, mtu akisema ana imani, nae hana matendo? Je! ile imani yaweza kumwokoa?


Maana kama vile mwili pasipo roho umekufa, vivyo hivyo na imani pasipo matendo imekufa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo