Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yakobo 2:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Kwa maana yeye aliyesema, Usizini, alisema, Usiue, pia. Bassi ijapokuwa hukuzini, lakini umeua, umekuwa mvunja sharia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Maana yuleyule aliyesema: “Usizini,” alisema pia “Usiue.” Kwa hiyo, hata ikiwa hukuzini, lakini umeua, wewe umeivunja sheria.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Maana yuleyule aliyesema: “Usizini,” alisema pia “Usiue.” Kwa hiyo, hata ikiwa hukuzini, lakini umeua, wewe umeivunja sheria.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Maana yuleyule aliyesema: “Usizini,” alisema pia “Usiue.” Kwa hiyo, hata ikiwa hukuzini, lakini umeua, wewe umeivunja sheria.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Kwa sababu yeye aliyesema, “Usizini,” alisema pia, “Usiue.” Basi kama huzini lakini unaua, umekuwa mvunjaji wa sheria.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Kwa sababu yeye aliyesema, “Usizini,” alisema pia, “Usiue.” Basi kama huzini lakini unaua, umekuwa mvunjaji wa sheria.

Tazama sura Nakili

Yakobo 2:11
11 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwambia, Zipi? Yesu akasema, Usiue, Usizini, Usiibe, Usishuhudu uwongo,

Wazijua amri, Usiue, Usizini, Usiibe, Usishuhudu uwongo, Usidanganye, Waheshimu haha yako na mama yako.

Wazijua amri, Usizini, Usiue, Usiibe, Usishuhudu uwongo, Waheshimu baba yako na mama yako.

Maana ile, Usizini, Usiue, Usiibe, Usishududu uwongo, Usitamani; na ikiwapo amri nyingine yo yote, inajumlishwa katika neno hili, ya kwamba, Mpende jirani wako kama nafsi yako.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo