Yakobo 2:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192110 Maana mtu awae yote atakaeishika sharia yote, na pamoja na hayo, akijikwaa katika neno moja, amekosa juu ya yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Anayevunja amri mojawapo ya sheria, atakuwa na hatia ya kuivunja sheria yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Anayevunja amri mojawapo ya sheria, atakuwa na hatia ya kuivunja sheria yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Anayevunja amri mojawapo ya sheria, atakuwa na hatia ya kuivunja sheria yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kwa maana mtu yeyote anayeishika sheria yote lakini akajikwaa katika kipengele kimoja tu, ana hatia ya kuivunja sheria yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kwa maana mtu yeyote anayeishika sheria yote lakini akajikwaa katika kipengele kimoja tu, ana hatia ya kuivunja sheria yote. Tazama sura |