Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yakobo 1:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Maana hujiangalia, kiisha huendazake, marra akasahau jinsi alivyo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Hujiangalia mwenyewe, kisha huenda zake, na mara husahau jinsi alivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Hujiangalia mwenyewe, kisha huenda zake, na mara husahau jinsi alivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Hujiangalia mwenyewe, kisha huenda zake, na mara husahau jinsi alivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 na baada ya kujiona alivyo, huenda zake na husahau upesi jinsi alivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 na baada ya kujiona alivyo, huenda zake na mara husahau jinsi alivyo.

Tazama sura Nakili




Yakobo 1:24
8 Marejeleo ya Msalaba  

Wale watu wakastaajabu, wakinena. Huyo ni mtu wa namna gani hatta pepo na bahari zamtii?


Na wote waliosikia wakayaweka mioyoni mwao, wakinena, Mtoto gani bassi atakuwa huyu? Kwa maana mkono wa Bwana ulikuwa pamoja nae?


Yule Farisayo aliyemwalika, alipoona haya akasema kimoyomoyo, akinena, Mtu huyu kama angekuwa nabii, angalimjua huyu ni nani! na ni mwanamke gani anaemgusa, ya kuwa ni mwenye dhambi.


kwamba injili yetu haikuwafikia katika maneno tu, bali na katika nguvu, na katika Roho Mtakatifu, na uthubutifu mwingi; kama mnavyojua jinsi zilivyokuwa tabia zetu kwenu, kwa ajili yenu.


Kwa sababu mtu akiwa msikiaji wa neno tu, wala si mtendaji, mtu huyu ni kama mtu anaejiangalia uso wake wa asili katika kioo.


Lakini aliyeitazama sharia kamilifu ya uhuru, na kukaa humo, asiwe msikiaji msahaulifu, bali mtendaji wa kazi, huyu atakuwa wa kheri katika kutenda kwake.


Bassi, kwa kuwa vitu hivi vyote vitafumuliwa, imewapasa ninyi kuwa watu wa tabia gani katika mwenendo mtakatifu na ntawa,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo