Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yakobo 1:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 kwa maana ghadhabu ya mwana Adamu haiitendi haki ya Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Mwenye hasira hawezi kutimiza matakwa ya Mungu yaliyo ya haki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Mwenye hasira hawezi kutimiza matakwa ya Mungu yaliyo ya haki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Mwenye hasira hawezi kutimiza matakwa ya Mungu yaliyo ya haki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Kwa maana hasira ya mwanadamu haitendi haki ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Kwa maana hasira ya mwanadamu haitendi haki ya Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili




Yakobo 1:20
5 Marejeleo ya Msalaba  

Bali mimi nawaambiem, Killa amwoneae ndugu yake ghadhabu bila sababu, itampasa hukumu; na mtu akimwambia ndugu yake, Haka, itampasa baraza; na mtu akinena, Mpumbavu, itampasa jebannum ya moto.


Mwe na ghadhabu, wala msifanye dhambi; jua lisichiwe na uchugu wenu bado kukutokeni;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo