Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yakobo 1:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Khalafu ile tamaa ikiisha kuchuikua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Tamaa ikiiva huzaa dhambi; nayo dhambi ikikomaa huzaa kifo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Tamaa ikiiva huzaa dhambi; nayo dhambi ikikomaa huzaa kifo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Tamaa ikiiva huzaa dhambi; nayo dhambi ikikomaa huzaa kifo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Basi ile tamaa mbaya ikishachukua mimba huzaa dhambi, nayo ile dhambi ikikomaa huzaa mauti.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Basi ile tamaa mbaya ikishachukua mimba, huzaa dhambi, nayo ile dhambi ikikomaa, huzaa mauti.

Tazama sura Nakili




Yakobo 1:15
21 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha mmoja wa wale thenashara, jina lake Yuda Iskariote, alikwenda zake kwa makuhani wakuu,


Bali mimi miwaambieni, Killa mtu atazamae mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini nae moyoni mwake.


Lakini killa mmoja hujaribiwa akivutwa na kudanganywa na tamaa yake mwenyewe.


Alipopenda alituzaa sisi kwa neno la kweli, tuwe kama limhuko la viumbe vyake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo