Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yakobo 1:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Mtu, ajarihiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu: maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Kama mtu akijaribiwa, asiseme: “Ninajaribiwa na Mungu.” Maana Mungu hawezi kujaribiwa na uovu, wala yeye hamjaribu mtu yeyote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Kama mtu akijaribiwa, asiseme: “Ninajaribiwa na Mungu.” Maana Mungu hawezi kujaribiwa na uovu, wala yeye hamjaribu mtu yeyote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Kama mtu akijaribiwa, asiseme: “Ninajaribiwa na Mungu.” Maana Mungu hawezi kujaribiwa na uovu, wala yeye hamjaribu mtu yeyote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Mtu anapojaribiwa asiseme, “Ninajaribiwa na Mungu.” Kwa maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu wala yeye hamjaribu mtu yeyote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Mtu anapojaribiwa asiseme, “Ninajaribiwa na Mungu.” Kwa maana Mwenyezi Mungu hawezi kujaribiwa na maovu wala yeye hamjaribu mtu yeyote.

Tazama sura Nakili

Yakobo 1:13
9 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akamwambia. Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.

Yu kheri astahimiliye majaribu; kwa sababu akipata kibali ataipokea taji ya uzima, Bwana aliyowaahidia wampendao.

Lakini killa mmoja hujaribiwa akivutwa na kudanganywa na tamaa yake mwenyewe.

Hesabuni ya kuwa ni furaha tupu, ndugu zangu, mkiangukia katika majaribu mbalimbali;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo