Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yakobo 1:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Maana jua huchomoza kwa hari, huyakausha majani; na lake huanguka, uzuri wa umbo lake hupotea; vivyo hivyo nae tajiri atanyauka katika njia zake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Jua huchomoza na kwa joto lake kali hukausha mimea, nayo maua yake huanguka, na uzuri wake wote huharibika. Vivyo hivyo, tajiri ataangamizwa katika shughuli zake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Jua huchomoza na kwa joto lake kali hukausha mimea, nayo maua yake huanguka, na uzuri wake wote huharibika. Vivyo hivyo, tajiri ataangamizwa katika shughuli zake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Jua huchomoza na kwa joto lake kali hukausha mimea, nayo maua yake huanguka, na uzuri wake wote huharibika. Vivyo hivyo, tajiri ataangamizwa katika shughuli zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Kwa maana jua kali huchomoza na kuyakausha majani ya mmea, nalo ua lake linaanguka, na uzuri wake unaharibika. Vivyo hivyo tajiri naye atanyauka akiwa anaendelea na shughuli zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Kwa maana jua kali lenye kuchoma huchomoza na kuliunguza, likayakausha majani, na ua lake likapukutika, nao uzuri wake huharibika. Vivyo hivyo tajiri naye atanyauka akiwa anaendelea na shughuli zake.

Tazama sura Nakili




Yakobo 1:11
27 Marejeleo ya Msalaba  

na jua lilipozuka zikanyauka; na kwa kuwa hazina mizizi zikakauka.


wakinena, Hawa wa mwisho wametenda kazi saa moja tu, nawe umewasawazisha na sisi tuliostahimili taabu na hari za mchana.


Lakini Mungu akiyavika hivi majani ya mashamba, yaliyopo leo, na kesho hutupwa kalibuni, je, hatazidi sana kuwavika ninyi, enyi wa imani haba?


hatta jua lilipoznka zikaungua, na kwa kuwa hazina mizizi zikakauka.


Na wale wautumiao ulimwengu huu, kama hawautumii sana; kwa maana mambo ya ulimwengu huu yanapita.


tupate urithi usioharibika, usio na uchafu, usionyauka, uliotunzwa mbinguni kwa ajili yenu,


Na mchungaji mkuu atakapodhihirishwa, mtaipokea taji ya utukufu, ile isiyokauka.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo